ratiba ya uchaguzi wa dola kupitia chama cha mapinduzi iliyopitishwa na kikao cha halmashauri kuu ya taifa cha tarehe 23-24/05/2015 1. ura

RATIBA YA UCHAGUZI WA DOLA KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI ILIYOPITISHWA
NA KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA TAIFA CHA TAREHE 23-24/05/2015
1. URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
NA
TAREHE
TUKIO
1.
03/06/2015 hadi 02/07/2015
Kuchukua na kurudisha fomu.
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 02/07/2015 saa 10.00 jioni
2.
03/06/2015 hadi 02/07/2015
Wadhamini
3.
08/07/2015
Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili
4.
09/07/2015
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa
5.
10/07/2015
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa
6.
11/07/2015 hadi 12/07/2015
Mkutano Mkuu
2. URAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR
NA
TAREHE
TUKIO
1.
03/06/2015 hadi 02/07/2015
Kuchukua na kurudisha fomu.
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 02/07/2015 saa 10.00 jioni
2.
03/06/2015 hadi 02/07/2015
Wadhamini
3.
04/07/2015
Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili - Zanzibar
4.
05/07/2015
Kikao cha Kamati Maalum ya ya Halmashauri Kuu ya Taifa - Zanzibar
5.
08/07/2015
Kikao cha Kamati ya Usalama na Maadili
6.
09/07/2015
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa
7.
10/07/2015
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kuteua mgombea Urais
3. UBUNGE
NA
TAREHE
TUKIO
1.
15/07/2015 hadi 19/07/2015
Kuchukua na kurudisha fomu.
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 02/07/2015 saa 10.00 jioni
2.
20/07/2015 hadi 31/07/2015
Mikutano ya Kampeni kwa ajili ya kura ya maoni
3.
01/08/2015
Kupiga kura ya maoni
4.
02/08/2015
Kuandaa taarifa ya matokeo ya kura ya maoni
5.
03/082015
Kikao cha Kamati za Siasa za Wilaya
6.
05/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Mkoa
08/08/2015
Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa - Zanzibar
7.
10/08/2015
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa
8.
11/08/2015 hadi 12/08/2015
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kwa ajili ya uteuzi.
4. UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI
NA
TAREHE
TUKIO
1.
15/07/2015 hadi 19/07/2015
Kuchukua na kurudisha fomu.
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 19/07/2015 saa 10.00 jioni
2.
20/07/2015 hadi 31/07/2015
Mikutano ya Kampeni kwa ajili ya kura ya maoni
3.
01/08/2015
Kupiga kura ya maoni
02/08/2015
Kuandaa taarifa ya matokeo ya kura ya maoni
4.
03/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Wilaya
5.
05/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Mkoa
6.
08/08/2015
Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa - Zanzibar
7.
10/08/2015
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa
8.
11/08/2015 hadi 12/08/2015
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kwa ajili ya uteuzi
5. UBUNGE NA UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI – VITI MAALUM - WANAWAKE
NA
TAREHE
TUKIO
1.
15/07/2015 hadi 19/07/2015
Kuchukua na kurudisha fomu.
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 19/07/2015 saa 10.00 jioni
2.
02/08/2015
Mikutano Mikuu ya UWT Mikoa kupiga kura za maoni kwa wagombea 2 kwa
kila mkoa.
3.
03/08/2015
Baraza Kuu la Vijana Mkoa kupiga kura za maoni kwa wagombea wa Viti
Maalum kundi la Vijana.
4.
04/08/2015
Baraza Kuu la Wazazi Mkoa kupiga kura za maoni kwa wagombea Viti
Maalum kundi la Wazazi.
05/08/2015
Kamati za Siasa za Mikoa kuandaa mapendekezo yatakayowasilishwa kwenye
Baraza Kuu la UWT Taifa.
4.
07/08/2015
Baraza Kuu la UWT kuandaa mapendekezo yatakayowasilishwa kwenye
Halmashauri Kuu ya Taifa.
5.
08/08/2015
Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa
6.
09/08/2015
Kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya Taifa.
7.
10/08/2015
Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa
8.
11/08/2015 hadi 12/08/2015
Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kwa ajili ya uteuzi
6. UDIWANI WA KATA/WADI
NA
TAREHE
TUKIO
1.
15/07/2015 hadi 19/07/2015
Kuchukua na kurudisha fomu.
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 19/07/2015 saa 10.00 jioni
2.
20/07/2015 hadi 31/07/2015
Mikutano ya kampeni kwa ajili ya kura ya maoni
3.
01/08/2015
Kupiga kura ya maoni
4.
02/08/2015
Kuandaa taarifa ya matokeo ya kura ya maoni
5.
03/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Kata/Wadi
6.
04/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Wilaya
7.
05/08/2015 hadi 06/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Mikoa
8.
07/08/2015
Kikao cha Halmshauri Kuu ya Mkoa kwa ajili ya uteuzi.
7. UDIWANI VITI MAALUM - WANAWAKE
NA
TAREHE
TUKIO
1.
15/07/2015 hadi 19/07/2015
Kuchukua na kurudisha fomu.
Mwisho wa kurudisha fomu ni tarehe 19/07/2015 saa 10.00 jioni
2.
03/08/2015
Mikutano Mikuu ya UWT ya Wilaya kwa ajili ya kupiga kura ya maoni
3.
04/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Wilaya
4.
05/08/2015 hadi 06/08/2015
Kikao cha Kamati za Siasa za Mikoa
5.
07/08/2015
Kikao cha Halmshauri Kuu ya Mkoa kwa ajili ya uteuzi.
MASHARTI KWA KILA NAFASI YA KUOMBEA UONGOZI
1. URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
*
Kila mgombea ni lazima apate wadhamini 450 katika mikoa 15 walau 3
kati ya hiyo iwe ya Zanzibar.
*
Wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa Taifa hawaruhusiwi kumdhamini
mgombea Urais.
*
Mwanachama haruhusiwi kumdhamini mgombea Urais zaidi ya mmoja.
*
Fomu ya udhamini ya wanachama ithibitishwe na Katibu wa CCM wa
Wilaya kwa kupigwa muhuri wa Chama wa Wilaya husika.
*
Wanachama watakao mdhamini mgombea, uanachama wao uthibitishwe na
Katibu wa CCM Wilaya husika na kupiga muhuri wa Chama.
2. URAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR
*
Kila mgombea ni lazima apate wadhamini 250 katika mikoa 3 kati ya
hiyo angalau Mkoa mmoja toka Unguja na mmoja kutoka Pemba.
*
Wajumbe wote wa Mkutano Mkuu wa Taifa hawaruhusiwi kumdhamini
mgombea Urais.
*
Mwanachama haruhusiwi kumdhamini mgombea Urais zaidi ya mmoja.
*
Fomu ya udhamini ya wanachama ithibitishwe na Katibu wa CCM Wilaya
kwa kupigwa muhuri wa Chama wa Wilaya husika.
*
Wanachama watakao mdhamini mgombea, uanachama wao uthibitishwe na
Katibu wa CCM Wilaya husika na kupiga muhuri wa Chama.
3. UBUNGE
*
Kila mgombea atachangia gharama za safari za kampeni.
*
Kila mgombea atalazimika kuzingatia Maadili ya Chama Cha Mapinduzi
na Miiko ya Uchaguzi wa ndani ya Chama.
4. UJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI
*
Kila mgombea atachangia gharama za safari za kampeni.
*
Kila mgombea atalazimika kuzingatia Maadili ya Chama Cha Mapinduzi
na Miiko ya Uchaguzi wa ndani ya Chama.
5. UDIWANI WA KATA/WADI
*
Kila mgombea atachangia gharama za safari za kampeni.
*
Kila mgombea atalazimika kuzingatia Maadili ya Chama Cha Mapinduzi
na Miiko ya Uchaguzi wa ndani ya Chama.
MWISHO:
Aidha, wagombea wote wanatakiwa kuzingatia Kanuni za Chama Cha
Mapinduzi.
6

  • THE PRINTMAKERS ART DIGITAL OR ORIGINAL PRINTS REPRODUCTIONS OR
  • Ðïࡱáþÿ }þÿÿÿ|¥áx8bb пüjbjbªª +`mèmèúÿÿÿÿÿÿx88 ²²²pøøøø´x960²ôôôôôx960 ²²ôô«0 Ô²ô²ôh0
  • TRANS20025 PAGE 3 E UNITED ECONOMIC AND SOCIAL COUNCIL
  • SURAT IJIN ORANGTUAWALISUAMIISTRI PADA HARI INI (DIISI HARI) TANGGAL
  • 3 TEST DE SISTEMAS OPERATIVOS “PROCESOS” 30 DE OCTUBRE
  • VERB TENSE EXERCISE READ THE FOLLOWING SHORT STORY AND
  • ACTIVIDAD DE AULA Nº 2 LA CÉLULA VEGETAL LA
  • GRANOLA BARS 2 CUPS QUICKCOOKING OATS ½ CUP DICED
  • TRANSISTOR A EFFETTO DI CAMPO (FET) COME TRASDUTTORI IN
  • EURÓPAI PARLAMENT 2014 2019 COMMISSION{LIBE}ÁLLAMPOLGÁRI JOGI BEL ÉS
  • U 2013 GODINI OPĆINAMA UPLAĆENA 24 MILIJUNA KM PO
  • METABOLISME CATABOLISME DE GLÚCIDS 1 CLASSIFICA LA MOLÈCULA A
  • WTMIN(03)ST14 PÁGINA 3 ORGANIZACIÓN MUNDIAL DEL COMERCIO WTMIN(03)ST14 10
  • ERBWQ83A 193 COMMONWEALTH OF PENNSYLVANIA DEPARTMENT OF ENVIRONMENTAL PROTECTION
  • (NAZIV ZDRAVSTVENE USTANOVE) (SJEDIŠTE) TELFAX EMAIL
  • 3 MINISTRU KABINETA RĪKOJUMA PROJEKTA „PAR ANDRA LIEPIŅA ATBRĪVOŠANU
  • E VENTO INFORME RENDICIÓN DE CUENTAS REGISTRO DE LOS
  • TEHNIČKA ŠKOLA ZAGREB ZAGREB PALMOTIĆEVA 84 UČENIČKI SERVIS TELEFONINFORMACIJE
  • UNIVERSIDAD DE MÁLAGA WEB EN MANTENIMIENTO LA WEB
  • CASAL DE BARRI POU DE LA FIGUERA SOL·LICITUD D’ESPAI
  • CHAPTER 23 CHEMICAL SAFETY 231 OVERVIEW MANY CHEMICALS HAVE
  • ANALISIS ESTRUCTURAL DE TEXTOS MÉTODO PROPUESTO POR J
  • WAITING FOR GODOT (1954) SAMUEL BECKETT VLADIMIR THAT PASSED
  • ATTACHMENT 1 VENDOR CONTRACT 0000001915 CONTRACT TERM 080706 THROUGH
  • 19042010 UCZESTNICY POSTĘPOWANIA NR 05P132010 DOTYCZY ODPOWIEDZI NA PYTANIA
  • TRANSCRIPT – HUMAN RIGHTS COUNCIL 14TH SESSION JUNE 2010
  • FORMULÁŘE INS104 ZPRÁVA PRO SKD PŘÍKAZ K INSTRUKCI TYPU
  • PREPARE! LEVEL 4 JAMES STYRING NICHOLAS TIMS EDUCACIÓN SECUNDARIA
  • Póliza de Protección a Clientes de Entidad Financiera o
  • MINUTA DE REUNIÓN Nº4 TEMA REUNIÓN DE COORDINACIÓN